Naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za nyumbani

Naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za nyumbani

Zeru

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
186
Reaction score
64
Habarini wadau,

Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani.

Nipo mkoani Dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
 
Kama una kianzio, wasiliana na kampuni za rangi idara ya masoko
 
Back
Top Bottom