Ni creative, amejitahidi kwa kweli,
Ameolewa na DJ Nelly wa Clouds FM, kwa sasa ni mja mzito nafikiri ndo uzao wake wa kwanza!!!
waliachana na DJ nELLY NA KESSY ILIKUWA IKO MAHAKAMANI DEMU ANADAI TALAKA SIJUI IMEISHIA WAPI KWA HIYO NINA MASHAKA NA HUO UJAUZITO KAMA NI WA DJ NELLY
she is nothing!yeye ni kama sauda mwilima wa star tv!wanajitahidi kutaka kuonekana watoto wa mjini ila damu ya ushamba haiwabanduki!
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.
Du Inasikitisha sana. Lakini yeye mwenyewe aliahidi, kwa shida na raha. Laana itamfikia, Ndoa haichezewi hata siku moja. Wapo walioichezea tunawaona walivyo hivi sasa.
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.
Loo! Mungu atamsaidia Dj,The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.