Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

Na alisema siku hakimu anampa talaka atafanya bonge la sherehe kama siku anaolewa, akisindikizwa na tarumbeta mpaka mahakamani. Sijuhi wametibuana nini na mumewe maana sijawahi ona toka nizaliwe mtu anashadadia talaka hivyo



nilisoma kwenye blog ya dina sjui vle..joyce aloikuwa anapondana na mmme wake dail
et sjui mwanaume gan anatoka na maji matakon..bra bra bra hamfikish...kdude kdgo..akidind...:rant::rant::rant:
na yeye nely pamoja na wapambe wake wanatoa madongo....basi raha tu
kikaz yes nampenda n anaongelea sana swaga za haki za wanawake...kikaz nampenda ayo matalaka yake hayanihusu lakin km vp asiyukane sana cz nw anajijenda fesh kikaz asiharibu kaz pcha yake...UTOTO WALIOKUWA WANAUFANYA NA NELLY WA KUUMBUANA HADHARAN WAACHE
 
hahahahaa yaani ndoa hizi....
 

Si kila mwanamke ni wa kuolewa......si kila mwanaume ni wa kuolewa naye....hayo maji yalianza kutoka aliwa kwenye ndoa? hicho kidudu kilikuwa kidogo akiwa kwenye ndoa??? kazi kweli....anyway,usilolijua ni kama usiku wa giza....kuta zinaficha mengi!
 

Mambo ya wawili (in this case, Joyce na Dj Nelly) ni vigumu kujua kwa uhakika nini kimewakuta hivyo talaka, furaha ya kupata talaka, n.k ni usiku wa giza kwetu.

Ni kweli Joyce anapambana sana na ingekuwa vyema wakina daa/mama wengine wakaiga ukitilia maanani alikuwa na historia ngumu kama tuliyoelezwa (of course kama ni kweli!).
 
kama kweli haya ni ya kweli, what goes around comes around. malipo hapahapa.
 
kama kweli haya ni ya kweli, what goes around comes around. malipo hapahapa.

Dj NELLY naye inaelekea anapenda ma house girl, kuna ki house girl flani nacho alikuwa anatembea nacho zamani enzi hizo yuko secondary azania , so ma beki tatu ndio zake
 
Dua la kuku...
joyce kiria, amini usiamini, kama kweli ulimfanya huyu jamaa kitu mbaya, kuna siku utakuja kulia machozi ya damu. hata hivyo shukuru jamaa ni ----, ningekuwa mimi wewe na yule kada msingekuwepo hapa duniani. shukuru jamaa ni mstaarabu sana.ulifanya kitu kibaya sana, ni kweli mlishaachana kila mtu ana maisha yake lakini itatakiwa ufike kipindi ukubali ukweli, uregret na utubu ili nafsi iache kukusuta kwasababu kama haitakupata wewe itawapata hata watoto, ni laana inaenda hadi kizazi cha nne.
 
binafsi siyaoni mafanikio ya kiria ni yapi, kawaida sana,kuna watu kila siku wanakesha kwenye TV lakini bado tunawaona wanapiga vumbi tu,kwenye TV atajaza ma karolaiti na mapoda pamoja NA marasta but ktk maisha take binafsi,nothing
 

Hahahaaa yaani we unachekesha kweli!
Mungu sio Athuman kusema kwamba utamuambukiza chuki hata akae analaani watu hovyo!
 
wazee wa chadema huyu si ni shemeji yenu? bwana wake alivyotiwa ndani na kesi ya ugaidi si mlimsaidia kuandamana leo hamumjui bwana wake mnamjua nelly tu aliyeachwa
 


Alishaachana na mumewe kitambo na talaka hii kaisambaza mwenyewe Joyce mitandaoni, kwa amebarikiwa kupata baby girl by the name Michelle amezalishwa na chalii mmoja kutoka Kilimanjaro they are very happy indeed.
Hivi joyce ana mtoto wa kike? Ninao waona ni wa kiuke wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…