Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

Nani kaibua hii thread? Haya sasa watetezi wake waje wamtetee tena...
Ningekuwa mimi ningepiga kimya...
Ya kwanza imemshinda...na hii tena?
yeye ndio tatizo afu anajifanya mshauri...mshauri my foot...

HG wangu alinambia alikuwa na kampeni eti kwa wanaume tufate mapenzi ela tutafute wenyewe...

Sasa yeye kulipa kodi ndio hadi mchozi...


Mnaopenda isidongo...za kuambiwa mchanganye na zenu
 
Dua limempata mwewe!
 
kumtoa mtu mbali na kumsaidia ni sawa lakini haimaanishi kuwa eti ukae na mtu kwa mateso tuu kisa kakutoa mbali....... sometime inabidi upime uchukue maamuzi mapemaaaa


BIG UP JOYCE
Njoo ukoment tena mkuu! Maana kakinukisha tena, sijui ushauri wako huu utabaki constant su utabadili
 
Kitu kilichonishangaza ni habari ya Joyce kuendelea kuishi nyumba ya kupanga wakati tunaaminishwa amefanikiwa sana
 
Ooh
 
Mkuu utakuwa nabii wewe.
 
Du Inasikitisha sana. Lakini yeye mwenyewe aliahidi, kwa shida na raha. Laana itamfikia, Ndoa haichezewi hata siku moja. Wapo walioichezea tunawaona walivyo hivi sasa.
Mnasahau kuwa huyo MDADA ni Kabila gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…