Watakuambia hawataki chokochoko,ni kipindi cha kufanya kazi.Kwahiyo tuendelee kusubiri.By the way ni KATIBA ya WARIOBA au ya 6?Maana bado hata hatuelewi...kaiba ipo
Hurka - Hulka (adj -asili)Samahani ndugu zangu, hii ni hurka tu ya baadhi yetu wanadamu kuwa; tukianza jambo huwa hatuna amani mpaka tulimalize.
Sisemi hivi kama njia ya kuwadharau wale wengine ambao wao hata wasipomaliza kile walichokianza huwa hawajali kitu!
Ila ni vizuri hata wao wasituzarau sisi tunaojari.
Cha msingi hapa ni ule umuhimu wa jambo lenyewe, je tunaweza kulipuuza?
Tunaweza kujifanya hatuuoni umuhimu wake?
IPO au Haipo?
Link New Katiba not priority, says MagufuliKatiba mpya inapunguza sana madaraka ya Rais. Kwa jinsi ninavyomuona huyu wa sasa...sidhani kama atapenda madaraka yake yapunguzwe. Hivyo swala la katiba mpya limewekwa kapuni mpaka 2025
Heko kwa maono.Katiba mpya inapunguza sana madaraka ya Rais. Kwa jinsi ninavyomuona huyu wa sasa...sidhani kama atapenda madaraka yake yapunguzwe. Hivyo swala la katiba mpya limewekwa kapuni mpaka 2025
Hakuna katiba mpya, ile ni katiba ya ccm.Nikutoe Wasiwasi Mleta Kuhusu Hiyo Katiba Mpya Kuwa Ni Jambo Kama Ule Msemo Wa Popo Namnyea Mungu Kumbe Anajinyea Mwenyewe !
Katiba IlikuwA Nzuri Ila Hakika Mwenyewe Uliona Hata Mtu Ambaye Alipewa Kazi Kwenda Mikoani Yaani Warioba Ameikana Kabisa Hiyo Katiba Pendekezwa.
Je Hali Ya Sasa Unavyoiona Na Ile Katiba Imefanyiwa Hujuma Za Kuichakata Na Kuweka Yao Yanayowalinda
Nadhani Itakuwa Busara Mchakato Ungeanza Upya Kwa Wananchi Hadi Kieleweke