ukifahamu?Nina matatizo ya meno sasa nimesha ng'oa 4 ila kuna moja liko sehemu nilisha ng'oa 2, kuna siku Dk alisema kwa sababu ni ya chini, ya juu yanaweza kushuka je kweli na kuna yeyote alisha wahi ng'oa sehemu moja ma 3 kwa mfuatano? Na kuna tatizo alipata baadae? Shukran.
Japo sio na ng'oa kwa mpigo yaaani kwa kwa mfuatano kwa nyakati tofauti.Me nilingoa matatu muhimbili fast track nilipokuwa na miaka 24,kikubwa naamini afya yako inatakiwa kuwa iko njema na yasiwe meno ya juu,mwisho ni risk kwani unaweza chomoka pia,binafsi nilipigwa na homa ya hatari baada ya kungoa.
Hivyo kuwa mwangalifu