Naomba kujua 'Kid Bway' aliyekuwa mtangazaji wa RFA yupo wapi kwa sasa?

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
804
Reaction score
553
Habari zenu wakuu!

Naomba kujua huyu jamaa mahali alipo. Halafu alikua na studio yake inaitwz 'Tetemesha Records' kazi zake hata sizisikii. Pia niliwahi kusikia alivamiwa na majambazi sijui ilikuwaje? Mwenye taarifa hizi naomba anijuze tafadhali

Mshua
 

yuko chooni anaknya
 
Kiukweli jamaa kachoka mbaya,ukimuona huwezi amini,nilikutana nae mkuyuni anapiga viroba vibaya sana
 
Kid yupo Mikocheni. Baada ya kuvamiwa kipindi kile na majambazi.. Ameamishia makazi yake dar.

Sipo mikocheni na anai rekebisha studio yake,so soona itaanza kazi akiwa dar.
 
Kiukweli jamaa kachoka mbaya,ukimuona huwezi amini,nilikutana nae mkuyuni anapiga viroba vibaya sana

Dah! Mungu amsaidie arudi katika hali yake. Nashukuru kwa info
 
Yupo Tarangire National Park kwa babake maana babake ni mhasibu mkuu kwenye hiyo hifadhi ya wanyama.Anaitwa George Mpanda.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
yuko DAR na tetemesha yake

Hapo sawa! Kuna jamaa hapo juu amenishtua, anasema amechoka mbaya na kwa sasa anapiga viroba kwa kwenda mbele! Jamaa alikua anasema yuko perfect 98% an mambo anayoyafanya
 
Last year nilikuwa namsikia Radio One kwenye kipindi cha milazo 1O1 kwani ametoka?
 
Sandu George a.k.a Kidbway kwa sasa anafanya kazi katika kampun ya Bongo5 Media Group kampuni inayomiliki jarida la Mzuka pamoja na mtandao wa www.bongo5.com,pia Fredrick Bundala a.k.a Skywalker nae kaajiriwa Bongo5.
Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…