Naomba kujua Kiingereza cha kubishana na kuchokoza

Naomba kujua Kiingereza cha kubishana na kuchokoza

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,160
Reaction score
3,368
Haya maneno ya kubishana na kuchokoza yananitatiza sana kuyatumia niongeapo kiingereza. Msaada please
 
Tamka https://jamii.app/JFUserGuide you mara nyingi kadiri uwezavyo!
 
Kwani lazima utukane kwa kidhungu kwani unawatukana wadhungu......??....
 
Back
Top Bottom