Naomba kujua kilo moja ya mwani (seaweed) ni bei gani

Naomba kujua kilo moja ya mwani (seaweed) ni bei gani

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi?

Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi?

Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
 
Mkuu watu wa. TANTRADE wana majibu yote.

Ingia web yao utapata contacts zao
 
Mkuu nimekupm njoo tuongee zaidi
 
Duh kipindi niko mafia kg1 ilikuwa tsh 200,hivi sahv bei ikoje?

Ova
 
Back
Top Bottom