Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ushapewa maana...sisi ni nani tupinge GoogleKwenye Kamusi ya mtandaoni neno Funnel limetafsiliwa km "bomba".Je ni sawa au kuna neno lingine sahihi?
Duuuh[emoji15][emoji15][emoji15]Neli mtoleo/mrija. Hiyo ni jargon nenno la kitaalamu kwenye field fulani. Kwahiyo nenno fasaha ni neli mtoleo. Neno sanifu linaweza kuwa hilo bomba
Fasaha kama ulivyo uliza. Sanifu kama ulivyojibiwa na kamusi
Mbona maisha hayako serious kiasi hiko weka “bomba” amsha kadeal na mambo mengineTanzania bara bomba ina maana nyingi.Kuna bomba ya maji,bomba la nguzo n.k Ndo maana naomba msaada kwa wabobezi je ni sahihi Funnel kuitwa bomba au kuna jina lake!
"Funnel" bila kupepesa macho kwa kiswahili fasaha inaitwa "Chirizi" mkuu.Kwenye Kamusi ya mtandaoni neno Funnel limetafsiliwa km "bomba".Je ni sawa au kuna neno lingine sahihi?
MrijaKwenye Kamusi ya mtandaoni neno Funnel limetafsiliwa km "bomba".Je ni sawa au kuna neno lingine sahihi?
Pia Bomba ni wimbo wa msanii kayumba na pia kuna vifurushi BOMBA toka tigoTanzania bara bomba ina maana nyingi.Kuna bomba ya maji,bomba la nguzo n.k Ndo maana naomba msaada kwa wabobezi je ni sahihi Funnel kuitwa bomba au kuna jina lake!
Sahihi
MpalisiKwenye Kamusi ya mtandaoni neno Funnel limetafsiliwa km "bomba".Je ni sawa au kuna neno lingine sahihi?
Msuba piaSahihi