Naomba kujua kiundani kuhusu gari aina ya Toyota Caldina old model na Carina

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Nimepata fedha kidogo nina option mbili za kupata moja ya haya magari, naomba wenye kujua wanishauri nichukue ipi na kwa sababu gani.

Ulaji wa mafuta, Spare n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Caldina na carina zinaingiliana Kwenye baadhi ya spare parts pia gari zote ni durable Ila Kwa ushauri wangu chukua Carina TI....

Caldina ni hatchback na carina ni sedan inamuonekano poa kuliko caldina pia kuhusu fuel consumption caldina nyingi zina Cc 1990 tofauti na carina yenye CC 1490

Natumia carina ti na sijawahi kujuta Kwenye hii gari hasa Kwa upande wa engine yake ya 5A
 
Chukua Carina Ti utumiaji wake wa mafuta ni mzuri na inamudu barabara zetu hizi.

Caldina ina injini ya 3s ge yenye 1980cc nayo pia ni ngumu sana ila ulaji wa mafuta utaongezeka kidogo.
 
Caldina na carina zinaingiliana Kwenye baadhi ya spare parts pia gari zote ni durable Ila Kwa ushauri wangu chukua Carina TI....

Caldina ni hatchback na carina ni sedan inamuonekano poa kuliko caldina pia kuhusu fuel consumption caldina nyingi zina Cc 1990 tofauti na carina yenye CC 1490

Natumia carina ti na sijawahi kujuta Kwenye hii gari hasa Kwa upande wa engine yake ya 5A
Mkuu carina yako ulaji wa mafuta uko vipi? nami niko Ti.
 
Back
Top Bottom