Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Mkuu carina yako ulaji wa mafuta uko vipi? nami niko Ti.Caldina na carina zinaingiliana Kwenye baadhi ya spare parts pia gari zote ni durable Ila Kwa ushauri wangu chukua Carina TI....
Caldina ni hatchback na carina ni sedan inamuonekano poa kuliko caldina pia kuhusu fuel consumption caldina nyingi zina Cc 1990 tofauti na carina yenye CC 1490
Natumia carina ti na sijawahi kujuta Kwenye hii gari hasa Kwa upande wa engine yake ya 5A
Nilishauza kitambo sanaa Ila ulaji wake wa mafuta ilikuwa poa SanaMkuu carina yako ulaji wa mafuta uko vipi? nami niko Ti.