Ak4700 Member Joined May 29, 2018 Posts 18 Reaction score 99 Jan 16, 2024 #1 Wakubwa kuna mtu ananipa somo kuhusu uwekezaji wa mtandani kupitia kitu inaitwa Effiliate naomba oujua zaidi kama ni cha kufanya au cha kuacha maana naweza kusema naipotezea kumbe naweza kupata kihela cha vocha
Wakubwa kuna mtu ananipa somo kuhusu uwekezaji wa mtandani kupitia kitu inaitwa Effiliate naomba oujua zaidi kama ni cha kufanya au cha kuacha maana naweza kusema naipotezea kumbe naweza kupata kihela cha vocha