Naomba kujua kuhusu application za chuo kikuu

Edo nyanda

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
46
Reaction score
5
Wadau naomba kuuliza,hivi mfano mtu akamaliza kidato cha 6 na matokeo yakatoka mazuri kuwa amechaguliwa chuo kikuu,akaamua kuminya mwaka huo ili aende mwaka unaofuata,nielezen ni hatua gan anapaswa kuzichukua na je mkopo anaapply mwaka huo anaoingia chuo? Msaada please
 

Ukimaliza form 6 na kupata matokeo mazuri, hutachaguliwa kwenda chuo kikuu hadi ewe umeapply for university admission through TCU or individual university (for some universities such as MUM and others which arenot under CAS (central admission system)). Kama una nia ya kuminya mwaka huu kwa nini una-apply? si usubiri utakapokuwa tayari?.

Anyway ukichaguliwa university na ikiwa hukuripoti na kulipa ada na kuregister yourself as a student basi kwanza hutaingiziwa mkopo wako, na pili chuo hakikutambui kama ni mwanafunzi na admission yako inapotea. Mwaka unaofuata ita bidi uombe admission upya.
Most likely na mkopo nao utayeyuka na itabidi uje uombe mkopo tena.

Lakini kama umesharipoti chuoni na kuregister na kutambuliwa kama ni mwanafunzi, unaweza kuomba ku-postpone academic year - hiyo inakubalika
 

kmbe naweza kuminya bila hata kutoa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…