Naomba kujua kuhusu, bachelor of science in electrical engineering katika chuo cha SAUT

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya hii kozi mwakani.
 
Kama una sifa nzuri nenda kasome must ,dit au udsm Kama una diploma njoo Arusha tech

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya hii kozi mwakani.
Kama umepata nafasi nenda kasome. Haijalishi umesoma wapi, tunaangalia kichwa chako kina nini. Kama bichwa lako limejaa hewa hata ukisoma havard hutakubalika sehemu.

Nenda kasome na uelimike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom