Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Kama una sifa nzuri nenda kasome must ,dit au udsm Kama una diploma njoo Arusha techMwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya hii kozi mwakani.
Una maanisha ELE ya saut ni mbaya au?Kama una sifa nzuri nenda kasome must ,dit au udsm Kama una diploma njoo Arusha tech
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umepata nafasi nenda kasome. Haijalishi umesoma wapi, tunaangalia kichwa chako kina nini. Kama bichwa lako limejaa hewa hata ukisoma havard hutakubalika sehemu.Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya hii kozi mwakani.
Kama umepata nafasi nenda kasome. Haijalishi umesoma wapi, tunaangalia kichwa chako kina nini. Kama bichwa lako limejaa hewa hata ukisoma havard hutakubalika sehemu.
Nenda kasome na uelimike.
Sent using Jamii Forums mobile app