Bolingo Ya Telephone
Senior Member
- Jun 29, 2020
- 114
- 116
Kwema mkuu. Nikipita hapa gongo la mboto wanapima kwenye ndoo kwa kina mama wanaokwenda kukaanga. Au unapewa vya hela uliyonayo wanakuhesabia. Ili upate faida nzuri vuna leta hapa unaweza kuuza jumla au rejareja wewe tuu mkuu.
Viazi vitamu Tumelima wengi sana mwaka huu! Mie nimeamua kula mwenyewee tuu...Nikiangalia hiyo bei bora nile tu.
Bei kwani ikoje mkuu. Hebu lete niione. Maana viazi kila wiki nanunua na kipimo na bei ni ile ile iko costant. Wewe uko wapi mkuu?Viazi vitamu Tumelima wengi sana mwaka huu! Mie nimeamua kula mwenyewee tuu...Nikiangalia hiyo bei bora nile tu.
We ndie umeongea kwa biashara ya viazi ukiwa jijini ama mkoani wasiliana na watu wa soko la mabibo tu, hao ndo wataalamu. Wakikuamini watakupa taarifa nyingi Sana ambazo ni fAida kubwa kwa mnunuzi na muuzaji.Mkuu nenda soko la Mabibo Dar muulize dalali wa viazi vitamu anaitwa Roger, biashara wanafanyia kwenye mwembe karibu na NIT.
Atakupa muongozo bei ya gunia moja kiasi gani, ulinzi, kupakia na kushusha mzigo, n.k.
Bei hubadilika kutokana na mahitaji ya wakati huo.
Bei zinaanzi 60,000/= hadi 80,000/= kwa gunia 1.
Hao watakupa na muongozo wa usafiri n.k.
Mkuu nenda soko la Mabibo Dar muulize dalali wa viazi vitamu anaitwa Roger, biashara wanafanyia kwenye mwembe karibu na NIT.
Atakupa muongozo bei ya gunia moja kiasi gani, ulinzi, kupakia na kushusha mzigo, n.k.
Bei hubadilika kutokana na mahitaji ya wakati huo.
Bei zinaanzi 60,000/= hadi 80,000/= kwa gunia 1.
Hao watakupa na muongozo wa usafiri n.k.
Viazi vitamu Tumelima wengi sana mwaka huu! Mie nimeamua kula mwenyewee tuu...Nikiangalia hiyo bei bora nile tu.
Kuna mtu alisema gunia 40Ekari moja huwa inaweza toa gunia ngapi ikitunzwa vizuri? Tuchukulie mita 70 kwa 70 tunazoziita ekari moja mtaani.