Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hakika ipi...??Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
Huwezi kufahamu kumi bila kuanzia moja ni lazima kufahamu yote ili mlengwa akipewa jibu awe na hakika
Kwa hiyo tusifuate bible tutumie miongozo inje ya Bible.?Kwataarifa yako Biblia ni sehemu ndogo yenye muongozo wa maisha ya Mkristo.....Sehemu kubwa imekuwa handle over through Tradition na mapokeo
Lete maandiko acha siasa.Hakika ipi...??
Biblia imekamilika mwaka 300AD kabla ya huo mwaka Wakristo sehemu mbalimbali walikuwa wanatumia nini kama rejea...?Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
Hayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....
Mbona unanilisha maneno...??Kwa hiyo tusifuate bible tutumie miongozo inje ya Bible.?
Rejea yetu ni mada husika.....Hakuna pande mbili....Mada ipo straight....Cesare Borgia unamfahamu...?? Hiki ndio kiini cha mada....Acha kukurupuka mkuu hauoni hapo juu kuna pande mbili zinakinzana
Kuna ambao wanataka wafahamishwe kutoka katika biblia wapi walipoandika kuhusu masanamu na hiyo picha /sura na upande mwingine unajaribu kukwepa swali na kujificha katika kivuli cha mara maneno ya kijiweni mara bible isingeweza kuandika yote mara yesu alitembea juu maji
Kwa akili zako ndogo unafikiri suluhisho la kumaliza mjadala huo ni nini ?? Na kama cyo kuletwa kwa hapo palipoandikwa kuhusu wanalohoji hao wakuu hapo
Yapi..???Lete maandiko acha siasa.
sababu umefichwa usijue....wewe uko huku TZ unasubir wakupe record wakuharibie. soma historia vzr na sio hii ya kukaririshwa kuwa umetokana na NYANIZaidi ya Papa Petro aliyekuwa na mtoto hakuna rekodi ya Papa mwingine aliyewahi kuwa na mtoto..
Ni uzushi tuu
Na msubiri nani..??sababu umefichwa usijue....wewe uko huku TZ unasubir wakupe record wakuharibie. soma historia vzr na sio hii ya kukaririshwa kuwa umetokana na NYANI
Haya uwanja ni wako tufichulie ukweli huu wa Yesu kuwa na familia na utupe reference.Unashangaa papa kuwa na familia ukweli ni kuwa yesu mwenyewe alipokuwa duniani alikuwa na familia.ukweli huu umekuwa ukifichwa miaka na miaka na vitabu viliandika juu ya hili viliondolewa kwenye orodha ya vitabu kwenye bible
Nakuambia ukweli soma Bible acha habari za kahawaMbona unanilisha maneno...??
Sio kika kitu kina reference bro! Ushahidi ulisha chonwa mto huko italyHaya uwanja ni wako tufichulie ukweli huu wa Yesu kuwa na familia na utupe reference.
Mimi na wewe nani mwenye habari za vijiweni...?Nakuambia ukweli soma Bible acha habari za kahawa
Sasa kama unacholeta hakina reference angali umesema unaoushahidi wa Yesu kuwa na Familia si ulete hapa?????Sio kika kitu kina reference bro! Ushahidi ulisha chonwa mto huko italy
Mkuu ili tupate jibu la msingi ni lazima kufahamu kila kinacho zungukaRejea yetu ni mada husika.....Hakuna pande mbili....Mada ipo straight....Cesare Borgia unamfahamu...?? Hiki ndio kiini cha mada....
Hayo mambo ya picha mmeyaleta nyinyi..
Kama unajibu la kumjibu mleta mada toa...
Kinachozunguka kivipi....???Mkuu ili tupate jibu la msingi ni lazima kufahamu kila kinacho zunguka
Kama unataka majibu sahihi ya uluchouliza anzisha separate thread tutakuja kuchangia...Mkuu ili tupate jibu la msingi ni lazima kufahamu kila kinacho zunguka
Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.Kama unataka majibu sahihi ya uluchouliza anzisha separate thread tutakuja kuchangia...