Sijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.habari zenu .....wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....pia naweza kua nimemkumbuka mtu halafu namuona hata kama hatujaonana siku au muda mrefu au naweza kuhisi mtu fulani atanipigia simu na anapiga simu siku hiyo .Je hii ndo de javu au kuna kitu kingine.
Mkuu huyo jamaa kama hakuwa mtu alikuwa nani mkuu....mmmmmmh?Sijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.
Hilo suala la kumkumbuka mtu then ukamuona siku hiyo pia ni uwezo wa akili sjui niite ni connection kati ya mtu na mtu ila kwa mimi ilikuwa inanitokea kwa jamaa yangu mmoja tu ambaye nimekaa nae kwa muda wa miaka mitatu ila sikuwahi kujua anapokaa na ilikuwa nikimuuliza hataki kusema.
Huyu jamaa ilikuwa siku nikimuwaza au kumkumbuka ni lazma siku hiyo nionane nae. Lakini baadae nikaja kujua kuwa hakuwa binadam.
By the way tafuta huo uzi wa @Pasco.
Shukran.
Alikuwa ni Jinn ndugu.Mkuu huyo jamaa kama hakuwa mtu alikuwa nani mkuu....mmmmmmh?
Jazia nyama mkuu ulijuaje kama ni Jini na ulifahamiana nae vipi?Alikuwa ni Jinn ndugu.
Mkuu, huyu jamaa nilikutana nae maeneo ya Kinondoni mitaa ya studio.Jazia nyama mkuu ulijuaje kama ni Jini na ulifahamiana nae vipi?
habari zenu .....wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....pia naweza kua nimemkumbuka mtu halafu namuona hata kama hatujaonana siku au muda mrefu au naweza kuhisi mtu fulani atanipigia simu na anapiga simu siku hiyo .Je hii ndo de javu au kuna kitu kingine.
Mkuu tunaomba utupe hiyo story inavutia kwa kweli itendee haki tupate kuondoa mawazo ya awamu hii ya tano[emoji4] [emoji4] . Tupe vitu ndugu japo nusunusu kama afanyavyo The bold.Mkuu, huyu jamaa nilikutana nae maeneo ya Kinondoni mitaa ya studio.
Nilikuwa na baadhi ya jamaa tukiwa tunakunywa ili kuweka kichwa sawa na kuchangamsha mwili kiasi. Ndipo akaja mtu mmoja akatueleza hapo barabarani kuna mwarabu mmoja hatumuelewi elewi tukimuuliza haongei chochote ndipo nikasema acha niende. Kufika tu nikaanza kumsemesha akawa ananijibu.
Nikamshawishi tuondoke na kwenda kwenye kikao chetu ili kujua kama nae anakunywa au laa. Kufika eneo la kilaji jamaa ikawa haongei na yoyote zaidi yangu.
Aisee, ni story ndefu wakuu ila mambo yaliyonitokea kipindi chote ambacho tupo wote ndio yaliyopelekea kujua kuwa hakuwa binadam.
Natumai nimejibu maswali yako mkuu.
Shukran.
Fungua uzi af nitag mkuu inaonekan una fascinating life story I wanna hear more of it..Mkuu, huyu jamaa nilikutana nae maeneo ya Kinondoni mitaa ya studio.
Nilikuwa na baadhi ya jamaa tukiwa tunakunywa ili kuweka kichwa sawa na kuchangamsha mwili kiasi. Ndipo akaja mtu mmoja akatueleza hapo barabarani kuna mwarabu mmoja hatumuelewi elewi tukimuuliza haongei chochote ndipo nikasema acha niende. Kufika tu nikaanza kumsemesha akawa ananijibu.
Nikamshawishi tuondoke na kwenda kwenye kikao chetu ili kujua kama nae anakunywa au laa. Kufika eneo la kilaji jamaa ikawa haongei na yoyote zaidi yangu.
Aisee, ni story ndefu wakuu ila mambo yaliyonitokea kipindi chote ambacho tupo wote ndio yaliyopelekea kujua kuwa hakuwa binadam.
Natumai nimejibu maswali yako mkuu.
Shukran.
Kweli kabisa afungue uzi kabisa atupe kidogokidogo mpaka mwisho.Fungua uzi af nitag mkuu inaonekan una fascinating life story I wanna hear more of it..
Mhhh mkuuu tueleze kwa kirefu jmnii usitubaniee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu, huyu jamaa nilikutana nae maeneo ya Kinondoni mitaa ya studio.
Nilikuwa na baadhi ya jamaa tukiwa tunakunywa ili kuweka kichwa sawa na kuchangamsha mwili kiasi. Ndipo akaja mtu mmoja akatueleza hapo barabarani kuna mwarabu mmoja hatumuelewi elewi tukimuuliza haongei chochote ndipo nikasema acha niende. Kufika tu nikaanza kumsemesha akawa ananijibu.
Nikamshawishi tuondoke na kwenda kwenye kikao chetu ili kujua kama nae anakunywa au laa. Kufika eneo la kilaji jamaa ikawa haongei na yoyote zaidi yangu.
Aisee, ni story ndefu wakuu ila mambo yaliyonitokea kipindi chote ambacho tupo wote ndio yaliyopelekea kujua kuwa hakuwa binadam.
Natumai nimejibu maswali yako mkuu.
Shukran.
Hii inaitwa TELEPATH mzee ni Mind to mind communication also can be mind to event communication few people have this ability but also can be taught especially for psychologists and spies but kwa wale with natural ability huwa wakijihisi tu changes in their body something might happen like if ghafla he feel uncomfortable lazima ataskia taarifa mbaya au. Atakumbwa na kitu kibayaSijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.
Hilo suala la kumkumbuka mtu then ukamuona siku hiyo pia ni uwezo wa akili sjui niite ni connection kati ya mtu na mtu ila kwa mimi ilikuwa inanitokea kwa jamaa yangu mmoja tu ambaye nimekaa nae kwa muda wa miaka mitatu ila sikuwahi kujua anapokaa na ilikuwa nikimuuliza hataki kusema.
Huyu jamaa ilikuwa siku nikimuwaza au kumkumbuka ni lazma siku hiyo nionane nae. Lakini baadae nikaja kujua kuwa hakuwa binadam.
By the way tafuta huo uzi wa @Pasco.
Shukran.
Fungua uzi af nitag mkuu inaonekan una fascinating life story I wanna hear more of it..
Kweli kabisa afungue uzi kabisa atupe kidogokidogo mpaka mwisho.
Ni kweli na haya mambo Pasco ameongelea kwa upana zaidi that's why nikamwambia atafute huo uzi asome ataelewa zaidi.Hii inaitwa TELEPATH mzee ni Mind to mind communication also can be mind to event communication few people have this ability but also can be taught especially for psychologists and spies but kwa wale with natural ability huwa wakijihisi tu changes in their body something might happen like if ghafla he feel uncomfortable lazima ataskia taarifa mbaya au. Atakumbwa na kitu kibaya
Ntafanya hivyo mkuu. Usjali.Mhhh mkuuu tueleze kwa kirefu jmnii usitubaniee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Inaaminika De Ja Vu ndio hali inayomtokea mtu wakati wa kukaribia kukata roho...na inamtokea kwa muda mrefu sanaMhhh mkuuu tueleze kwa kirefu jmnii usitubaniee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]