Naomba kujua kuhusu déjà vu

Kuna watu humu walikuwaga wanatoa elimu hii bure humu jukwaani @Pasco Rakims @ Mshana Jr
Lakini siku hizi wako kimya sijui wamekufa au ni wale waliookotwa kwenye mifuko nawaza tu lakini.![emoji12]
 
Tobaaa..nn maana ya De ja vu maana according to ww inaelekea maana yake ni tofauti na wachangiaji wengine hapo juu.. tudadavulie mkuu tuongeze maarifa[emoji6] [emoji6]
DE JA VU NI NINI?

De Ja Vu ni hali ya kiasili kabisa na ya kiuwezo wa pekee inayomtokea Kiumbe cha Mungu na ni hali ya kufahamu yanayomtokea mbeleni, au muda mfupi ujao kwa kurecall hali hiyohiyo iliyowahi kumtokea kipindi flan katika maisha yake na akairecord katika kumbukumbu bila kujua hiyo siku itajirudi baadaye maishani.

Pasco alieleza vizuri kwa kiasi chake.

Kiimani ama kiroho, hali hiyo hiyo ndiyo itakayomtokea mtu kabla ya kufa kwake kwa kukumbushwa kwa kuona kabisa yaliyotokea maishani mwake tangu kuzaliwa kwake ila hatakuwa na uwezo kwa kuzungumza.

Hali nyingine itakayomtokea mtu ni ile ya sleeping paralysis.
 
duuh hakua binadamu alikua nani mkuu
 
Mkuu huo uzi wa pascal upo jukwaa gan niutafute
 
wakuu,m nna story ndef kdogo lakin niseme tu mamb mengi nayopitia now nlishawah kuyaota ktambo mengne toka o level huko ni ktambo,ila bado mengne meng nayasubir yatokee,lakn vile vile nna kawaida km nikiota ndoto nzur kesho yak tukio baya utokea,km ndoto ni mbaya kesho lazma ntoboe sana,na km nmeonda alaf kesho yasitokee bas yao unikutaga mbelen tna huwaga mambo mazur,baada ya kujiona iv mwenyewe nkajipeleka kwenye meditation ,n hayo tu wakuu
 
Wakuu hapa kuna vitu tunajichanganya...De javu na Telepathy ni vitu viwili tofauti..
Kwa kifupi, de javu ni ile hali ambapo unaona hali au mazingira na ubongo wako unajaribu kukumbusha (recalling/re-fetching memories) ya jambo au mazingira hayo na kisha kuikosa !!!! Unapoikosa sasa ndipo hali halisi ya mazingira inapojitokeza unahis kama ulishawai kuiona..HIKI HUWA KITENDO CHA KASI SANA KIASI CHINI YA NUKTA 0.1
(Kama nmekuacha uliza)
 
mkuu brazuka mimi umeniacha aisee! huwa inanitokea sana hata mimi ila sielewaji maana yake nini.
 
mkuu kama umeajiriwa, na unakatwa ile 18%

acha kazi maana njia yako umeshaiona

uwe mtabiri utapiga pesa mingi sana,

trust me, maana na mimi nilishakuonea hii ninayokwambia
 
When your brain tries to apply memory of a past situation to current, fails and make you feel like it has already happened!!
Umekaa sehem unahis kuna mtu atakuja, na kweli anakuja then unasema /unahisi ushawai kuiona hiyo hali!!
 
Meditation???? Kwa nini???
 
Nimesikia sikia hiyo De Javu inawatokea sana wala Ugoro????
Nimesikia tu
 
Ile hali ya kuota au kuhisi kitu na kikatokea kweli unaitwaje cz maelezo ya wachangia mada yana mkanganyiko kidogo
Nitolee mfano mimi kuna siku niliota japo sikua nimelala(yaani ni kama nilipitiwa na kama ndoto au maono flani hiv nikiwa sijafumba macho wala sijalala)kuna tetemeko limetokea mahali ...kesho yake ikatokea tetemeko kule bukoba ..hii hali imekua ikunitokea mara kwa mara japo ni kwa matukio tofauti tofauti (mtanisamehe mimi siyo msimuliaji mzuri na mwandishi mzuri) ila ningependa kupata ufafanuzi zaidi wa situation kama hiyo ni hali ya kawaida? Je kwa lugha ya kitaalamu inaitwaje?
 
Mkuu, hii huwa inanitokea sana tu. naweza kuwa nafanya jambo fulani or kwenda sehemu fulani but mazingira yale ni kama nimewahi kuwepo lakini kwa njia ya ndoto. naweza kuota na nikasahau but once naweza kuwa sehemu then ile ndoto ikajirudia/nikakumbuka kuwa haya maeneo siyo mageni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…