Naomba kujua kuhusu déjà vu

Ndio yenyewe.
Cfddoyy
Ukifungua uzi fanya kunitag mkuu
Ubd
Fncnpk
 
me mwenyewe huwa inanitokea mara nyingi sana naweza kuwa nafanya kitu flani siku nyingne sehemu nyingne ila ikafanana na tukio la nyuma location ile ile na tukio lile lile hadi natabiri tukio litakavyoisha na kweli inakuwa exactly the same sasa sijui hii ni nini nimeshawah kufikiria mara nyingi sana hali hii ila nakosa majibu ya uhakika
 
kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....

ishawahi kunitokea mara nyingi tu, ila sikujuwa kama ni hiyo kitu inaitwa de ja vu.

by the way kuna madhara yoyote ukitokewa na de ja vu?
 
ishawahi kunitokea mara nyingi tu, ila sikujuwa kama ni hiyo kitu inaitwa de ja vu.

by the way kuna madhara yoyote ukitokewa na de ja vu?
sijui kama kuna madhara Lakin ukiitegemea sana hiyo hali inakua Imani yako
 
Endelea kidogo mkuu
 
wew utakua na walimu kichwani bila kujijua. nenda ukajiangalie kama imani ya dini yako inakuruhsu. huo ni utabiri.
 
Haya ndo matatizo ya kuangalia muvi sana
Danzel Washington n.a. nyinginezo
 
Kama kawaida hua nakuja kumaliza mambo yote ya kiuchawi uchawi na sijui roho blah blah.

Deja Vu iko hivi, unahisi ume-experience kitu before ila ukweli ni kua ndiyo mara ya kwanza una-experience, na hakuna kua ulikiota wala nini, kinachotokea ni glitch tu kwenye brain inajikuta signal imekua transmitted mara mbili, nyingine haraka nyingine polepole, utofauti ni ka sekunde moja tu, signal ya pili ikifika kwa kua ni kitu kilekile unakaa unahisi hili jambo mbona nishawahi kuliona sehemu, kumbe ni glitch tu kwenye ubongo kuchelewa kutafsiri signal moja ambayo ni ileile sawa na ya kwanza.

Mambo sijui ya nguvu, superhero, avengers, roho na madudu mengine yote cheche tu, mtu aje na evidence sio kupiga blah blah.
 
ngoja waje mkuu
 
ngoja waje mkuu
Nawasubiri vizuri waje maana waafrika hua tunakimbilia uchawi na dini kwenye kila jambo badala ya kushughulisha ubongo kwanza. Moja ya sababu bado tuko nyuma, tunaamini madudu sana.
 
nmesoma usiku huu nmeogopa[emoji22]
 
Basi ni sawa wakuu ntalifanyia kazi hili wazo wandugu.

Ila kiukweli hawa viumbe tunapishana nao sana mitaani na haya mambo yapo wakuu.

Tuko pamoja wandugu.

Thanks.
Ulishaelezea hicho kitu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…