Naomba kujua kuhusu déjà vu

Ulikua na urafiki na mzimu mkuu?? Duh watu wajua mengi Dunia hii.
 
yap uko sawa kbs ndg yang mental health iyo psychological issues !!! sioni nyongeza kwa ulivyosema ndo navyofaham nam
 
Dah! Nimeogopa sana maana hii imenitokea siku za jirani

Hutakiwi kuogopa mkuu.

Coz hao viumbe ni wapo na tunaishi nao kwenye maisha yetu ya kila siku kiongozi.

Ntakuja PM tupige story kidogo mkuu. Thanks.
 
I conquer with you Brother!
 
na hii huwa inanitokea mara nyingi maana nikijihisi uncomfortable then kuna taarifa au jambo baya litatokea na endapo nitajaribu kuwazia kuwa pengine ni jambo fulan bas huwa contrary kabisa na like nmewazia au kufikiria.
 
Master key system
 
Hapa ndo umeelezea vzr
 
Tunaitaka ikiwa full story hii mkuu samahan lkn!
 
Ulianza vizuri tu lakini kadri watu wanavyokushinikiza utoe muendelezo unakuja na miendelezo inayotia mashaka kama ni halisi au ya kutunga.
 
Habari member.
Heri ya mwaka mpya

Kuna wakati katika stori na watu hutokea stori ambayo kifikila kama ushawahi iskia na kuiongea kabla na watu haohao sehemu iyo uyo na hadi hako katukio kuisha unaona ya ndo yenyewe.
Muda mwingine unatembea kinatokea kitukio ambacho kama ushawahi kukifnya sehemu iyo iyo hata kama hujawah kufika sehemu iyo kabla.
NAOMBA KUJUZWA KUHUSU HIKI KITU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee, alikuwa ngo'mbe au
 
Hutakiwi kuogopa mkuu.

Coz hao viumbe ni wapo na tunaishi nao kwenye maisha yetu ya kila siku kiongozi.

Ntakuja PM tupige story kidogo mkuu. Thanks.
mkuu lete hiyo story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…