jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 110
Nahitaji kuhamia Musoma naombeni ushauri wenu wenyeji wa uko. Vitu navyotaka kujua ni:
A) Bei ya kupanga chumba na sebule
B) Hali ya uchumi wa musoma
C) Hali ya mzunguko wa fedha
D) Kilimo kinacholimwa musoma
E) Gharama ya maisha, vyakula na nguo
Akhsanteni
A) Bei ya kupanga chumba na sebule
B) Hali ya uchumi wa musoma
C) Hali ya mzunguko wa fedha
D) Kilimo kinacholimwa musoma
E) Gharama ya maisha, vyakula na nguo
Akhsanteni