Kwa anaye jua lolote kuhusu hii course aniambie jamani kama vile
1) soko la ajira lipoje
2) mtu anae anza kazi mshahara wake upoje
3) maeneo gani mtu alie soma hii course anaweza fanyia kazi
4) ugumu wa course na urahisi wake
5) mbinu zake za kusoma ikitokea umechaguliwa
6) field unaeza pigia sehemu gani
Na kingine unachojua kuhusu hiyo kitu plzzzz msaada wako naombaa kama umeisoma aua unafahamu ambao wanasom au walio kwisha soma tuambiane