Nnampango niwalipe kidogo kidogo mwisho wa mwez nkamilishe nna week mbili sijalipa na sasa wanantishia hadi leo siku niwe nshawalipa ni mikwara tu aulipa deni mkuu.
Ni vitisho tu au na vitendo wanafanya maana wanantishia kunipeleka polisi nisipolipa leo nna kama week mbili tangu tarehe yakulipa ipiteMeseji za vitisho zisizokwisha
Daaah hao wamenipagahasara sasa watisoma namba. Unarejesha hela Mara 2 hupandishwi.... Zaidi zaidi unakatwa.Habarin wadau naombeni kuuliza samahani hivi madhara yakutokulipa pesa branch kwa muda mrefu ni yapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Me pia nyuma ilikuwa hivyo ila sa hiv nna week mbili sijawalipa wananiambia nisipokamilisha leo kesho wananifataDaaah hao wamenipagahasara sasa watisoma namba. Unarejesha hela Mara 2 hupandishwi.... Zaidi zaidi unakatwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaf wanavifanyia kazi hivo vitisho au maana nna kama week mbili zmepita wananipiga bitMeseji za vitisho zisizokwisha
Shs ngapi mkuuSizani kama wanaweza kukufanya chochote wakati mimi nimewaliza voda m-pawa hawajawahi hata kuniletea mgambo na line yao iko hewani kila siku
Laki 6
Kuna aliewahi kuwekwa jela mkuuMadhara ni kikamatwa na kuswekwa rumande, pia kuwekewa vikwazo vya kutolopesheka tena na taasisi nyiza kifedha yaani unatiwa doa jina lako blacklist dawa ya deni ni kulipa mkuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntawalipa ndio lakin hadi mwisho wa mwez na hapa wamenambia leo mwisho nafanyeje hapo
Kwahiyo mkuu wakitishia polisi wanaleta kweli auNi sms za vitisho tuuu hamna issueTala wao wameishasepa
SawaAndaa ndo nzuri yakunyea ili usiende kushea na machizi wa kule...