Naomba kujua kuhusu kaymu.com!!

Naomba kujua kuhusu kaymu.com!!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
441
Reaction score
118
Wadau naomba kujua kuhusu huu mtandao wa Shopping online.
Kama kuna mdau alishawahi kununua kupitia mtandao huu kwa
Tigo Pesa. Wanaaminika na delivery ikawa successful?
Naomba kuwasilisha wadau
 
Hawa nadhani ni wezi kama wengine tu.siku moja nilipiga simu wakapokea nikawauliza wako wapi hapa Dar nataka niende kununua bidhaa kwao wakasema wapo mjini ila kwa mteja wa kwenda pale walipo hawamuuzii mpaka on line..sasa kama si wizi ni nini?
 
Kaymu wanadeal na maduka tofauti tofauti yanayouza bidhaa hata kama wewe una duka lako unawezaweka bidhaa yako pale, mzigo unaletewa mpaka ulipo unaweza lip b4 au after, kwa sababu wanadeal na supplier tofauti transport cost mpaka ulipo inatofautiana na sometimes unaweza ukaamua kuifata bidhaa katika duka husika, ukiangalia hata kweny bidhaa zao utaona nani anaiuza ile bidhaa
 
Hawa jamaa utapeli tu.

Mara kibao wanatangaza nafasi za kazi kule zoom.

Hawaitagi watu kwa usahili wanacheza na akili za watu.
 
Back
Top Bottom