Kaymu wanadeal na maduka tofauti tofauti yanayouza bidhaa hata kama wewe una duka lako unawezaweka bidhaa yako pale, mzigo unaletewa mpaka ulipo unaweza lip b4 au after, kwa sababu wanadeal na supplier tofauti transport cost mpaka ulipo inatofautiana na sometimes unaweza ukaamua kuifata bidhaa katika duka husika, ukiangalia hata kweny bidhaa zao utaona nani anaiuza ile bidhaa