Naomba kujua kuhusu kijiji cha Kalemela mkoani Simiyu

Naomba kujua kuhusu kijiji cha Kalemela mkoani Simiyu

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habarini za masiku wakuu, nataka kujua kijiji cha Kalemela Mkoa wa simiyu

1. Hicho kijiji kipo wilaya gani,
2. Kipo kata gani
3. Tarafa gani

Karibuni kwa wajuzi

Sent using compute mpakato
 
Nenda stand ya buzuga panda Bas za kwenda musoma, lamadi au tarime.wapimbie makonda wakushushe kalema.
 
Back
Top Bottom