Naomba kujua kuhusu kilimo cha Mlonge

Naomba kujua kuhusu kilimo cha Mlonge

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
110
Habari wana JF.
Naomba kufahamishwa kuhusu kilimo cha mlonge. Je, unastawi katika udongo wa aina gani, matunzo yake, namna ya kupata mbegu zake pamoja na soko lake.
 
Nasubiri kujua kuhusu soko lake na mimi.
 
Habari wana JF.
Naomba kufahamishwa kuhusu kilimo cha mlonge. Je, unastawi katika udongo wa aina gani, matunzo yake, namna ya kupata mbegu zake pamoja na soko lake.
Wasome hawa jamaa wapo Morogoro...

Angalia tusije kukuita boss milonge,Mana Kuna jama mmoja alidanganywa kwenye semina ya wazee wa fursa akalima michaichai [emoji23][emoji23] alibaki nayo na kilio kikubwa
 
Asante
Wasome hawa jamaa wapo Morogoro...

Back
Top Bottom