Naomba kujua kuhusu morogoro sekondari

Naomba kujua kuhusu morogoro sekondari

GREATTHINKERDAIMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
232
Reaction score
46
Wana jamvi naomba kufahamu kuhusu hali ya kitaaluma na nidhamu ya wanafunzi.

Nimeomba kujua maana nina mtoto wa ndugu yangu ananishangaza hasa kwa tabia, nahisi morogoro sek ya sasa ni ya hovyo kuliko miaka ya zamani .

Tafadhali anayeifaha vyema atusaidie.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom