lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Upo Dar?
Mimi nilienda Toyota Kariakoo na sample wakanipa kwa elfu 11 each. Zilikua nzuri sana.
Nipo Dar toyota kariakoo ni mtaa gani
Aisee mkuu una simu unatumia unaweza kuperuzi why usiangalie mwenyewe aina sahihi ya plug ya engine yako??.wabongo tuache uvivu na kutaka kutafuniwa kila kituuu..
Google spark plug for 1NZ FE engine.hapo utapata aina zaidi ya 8.
Kampuni ya denso utapata aina ya plug zaidi ya 2 zinazofunga kwenye engine yako.
Utakuja kwenye NGK hapo napo utapata aina zaidi ya 2..
Tumia spark plug ya denso k16R-U11 ndio inafit kwa engine hiyo na bei yake ni 15000 genuine hadi 20000 inategemeana na mahali ulipoWakuu naomba mwenye ujuzi anitajie Spark Plug gani nzuri kwa injini ya 1NZ FE hii injini common kwenye IST, Spacio, Raum na Runx.
Mwenye ujuzi tafadhali naomba recommendation.
Hata Bosch si wako poa lakini?Aisee mkuu una simu unatumia unaweza kuperuzi why usiangalie mwenyewe aina sahihi ya plug ya engine yako??.wabongo tuache uvivu na kutaka kutafuniwa kila kituuu..
Google spark plug for 1NZ FE engine.hapo utapata aina zaidi ya 8.
Kampuni ya denso utapata aina ya plug zaidi ya 2 zinazofunga kwenye engine yako.
Utakuja kwenye NGK hapo napo utapata aina zaidi ya 2..
Plug inaangaliwa specification zake na sio jina la kampuni..ingawa kuna kampun zingine zinatengeneza plug quality sanaHata Bosch si wako poa lakini?
Sio specificatio tu mkuu angalai pia uimara wa kifaa kinachowekwa kwenye gari maana ukiangalia hizo specification unazozisemea kila Siku utakua unaua kifaa kimoja kimoja maana kuna vingine part no iko oky lakin fake so be carePlug inaangaliwa specification zake na sio jina la kampuni..ingawa kuna kampun zingine zinatengeneza plug quality sana