Stiffler88
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 158
- 504
habari Jf
Nataka kufunga sport rim kwenye Nissan Note, naweza kubadili tyre na rim kwa pamoja sio issue sana kwangu, mwenye kujua naomba anijuze Bei (huwa sielewi mtu akisema mf laki 8 zinakua rim zote 4 au moja) zipoje na mchanganuo wake na pia ubora maana nmeambiwa kuna used na mpya naskia mara mpya ni zinaharibika haraka wengine wanasema kuna mchina na original.
Mtaalam mkali wa izi vitu atakua amenisaidia sana kufanya maamuzi yenye tija kwa kunipa maelezo. Nimeenda sehem kama Kijitonyama na Kkoo kuzunguka lakin sijapata mtu wa kunipa taarifa za ndani kuhusu ubora wa rim na uhalisia wa bei ulivo maana najua nikienda kichwa kichwa ntapigwa bila kujua.
Msaada wa taarifa. ASANTENI SANA