Habar, wadau nipo kwenye semina ya Telexfree, si waelewi elewi, maana nawaona kama DEC.
vip kuna mtu mwenye detailed information.please i need a help kabla ya kujiunga, ahsante

Ahsante Mdau nimekuelewa, ila kwanini nchi hii watu wanafanya mambo ya kuwarubuni raia na kufanya semina kivile halafu wanaachwa wakati usalamataifa upo? so Sad, naililia nchi yangu Tanzania.