Naomba kujua kuhusu ufugaji wa farasi

Salam wakuu,
Habari za jioni? Kama kichwa kiavyojieleza hapo, ningependa kufahamu kwa kina kuhusu ufugaji wa farasi, changamoto zake, upatikanaji na breed iliyo bora
 
hawafugwi kibiashara ili uwauze unawafuga wakikua unakuwa unawakodisha kwa wanamichezo au watu kuchezea + kupiga picha ,kwa kifupi ni biashara ya madoni ya pembeni ,mfano wenye mahotel makubwa ila sio wewe una mil chini ya mia unataka hii utafeli ,fuga zako mbuzi au nguruwe miaka 2 unakuwa level mbali kabisa
 
Nilipita hapo naelekea kwa mbunge aisee nimeona hayo majani na hao farasi mkuu walinivutia sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona aliyejibu hoja ya mleta mada nyoote vitishovitisho tu huenda hamjui kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…