Naomba kujua kukagua gari endapo lina fine ya polisi

Naomba kujua kukagua gari endapo lina fine ya polisi

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Fine jeshi polisi imekuwa mtihani. Nahitaji namna kujua deni kwa kutumia simu yangu, mbali ya kuomba ama kukaguliwa na askari wa barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi tafadhali, mtihani sana sisi tunaoshea magari, na kuyatumia kwa muda.Unakuta fine ina adhabu ya ajabu na usumbufu, kushikiliwa gari kituoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom