Wadau heshima kwenu
Napenda kujua kesho kura ya kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba itakuwaje?? maana nimeona watu wakishabikia kuahirishwa kwa kifungu cha kanuni kinachoelekeza namna ya kupitisha maamuzi kwenye bunge hilo sasa kama kifungu hicho kimeahirishwa, kura za kumchagua mwenyekiti zitakuwa za wazi au za siri?? naomba mwenyekujua anisaidie au anieleweshe.