AiseeAende tu atajua huko huko
au unasemaje madamAisee
Ngoja wataalam wajeau unasemaje madam
hamna cha watalaam, kwani mdogo wake alikuwa anaomba kazi haijui, ameshapata atapewa training huko mbele kwa mbele, watalaamu tunawachoshaNgoja wataalam waje
🤣🤣🤣Umekuwaje sikuhizi eti?hamna cha watalaam, kwani mdogo wake alikuwa anaomba kazi haijui, ameshapata atapewa training huko mbele kwa mbele, watalaamu tunawachosha
Joto hasira🤣🤣🤣Umekuwaje sikuhizi eti?
Unampoteza kabisa.....Mwache aende, cha msingi amepata kazi.Aingie google the search yafuatayo.
Stock Market
Stock Exchange
Financial Markets
Financial Products
kwenye orientation atapata kufahamu yote hayo ikiwa atauliza na kutaka kujua zaid.Poleni na Majukumu wana JF
Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu je Stock audit na accountant wa ofis ni watu tofauti? na je stock audit na accountant kwenye ofis nani mkubwa kwenye cheo? Pia naomba mwenye ujuzi wa hayo mambo naomba msaada kutoka kwake🙏