Naomba kujua kwa nini gari yangu nikiendesha ikifika km 100 inagota haiongezi km

Naomba kujua kwa nini gari yangu nikiendesha ikifika km 100 inagota haiongezi km

Habari za jioni wandugu!Napenda kujua kwa nini gari yangu aina ya 1st nikiendesha ikifika km 100 inagota hapohapo na mpaka niweke overdrive ndio inaongeza km

Sent using Jamii Forums mobile app
.
sasa mkuu si uipeleke kwa Fundi,,,,au upo porini hakuna mafundi, ,??? Au ndio kigari cha kwanza unataka tujue nawewe una kigari
 
Back
Top Bottom