Naomba kujua kwanini watu wanaota ndoto na watu mara ya kwanza walijuaje ni ndoto?

Naomba kujua kwanini watu wanaota ndoto na watu mara ya kwanza walijuaje ni ndoto?

Joined
May 6, 2023
Posts
15
Reaction score
17
Nawasalimu ndugu na jamaa humu ndani.Nimeuliza swali nahitaji kujua?

IMG-20230506-WA0084.jpg
 
Havina usiano kweli kama ilivyo jibu lako kutokua na usiano na jibu la swali langu
 
Nawasalimu ndugu na jamaa humu ndani.Nimeuliza swali nahitaji kujuaView attachment 2612641
Watoto wadogo sana 1-5 years hawaweze kutofautisha ndoto na uhalisia lakini baada ya hapo watajua kuwa usiku walipitia jambo ambalo si halisi na taratibu kupitia watu wengine watajua kwamba mambo hayo huitwa ndoto.

Ndoto yaweza kuwa tu mchakato wa ubongo juu ya taarifa mbali mbali zilizopokelewa na uundaji wa mambo ya kufikirika (imagination); au ndoto yaweza kuwa jambo la kiroho linalokuja kupitia mvuvio kutokana na kazi nguvu za nafsi katika roho.
 
Nawasalimu ndugu na jamaa humu ndani.Nimeuliza swali nahitaji kujuaView attachment 2612641
Mkuu, peleka mada yako katika jukwaa husika. Suala la ndoto ama njozi haliusiani kabisa na masuala ya kisiasa. Labda iwe ni maudhui mengine ya ndoto yakiwakilisha matamanio ya mtu kujikita zaidi katika nyanja ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom