Naomba kujua kwann taarifa ya manji imefutwa?

Naomba kujua kwann taarifa ya manji imefutwa?

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Kumekua na tabia ya kukumbilia kufuta taarifa haraka bila kufanya uchunguzi humu


Sasa mumefuta na ni kweli manji kujiuzulu tunaomba mrejeshe taarifa hiyo humu
 
Mods wanaboa kweli, nami wamemaliza kufuta taarifa yangu hapa mda sio mrefu.
 
Ya gwajima na yenyewe wamefuta bas mods tuwekeeni habari zenu basi mnaboa
 
Back
Top Bottom