Well
Kama unavyojua binadamu tuna masikio mawaili. lakini kama upo normal licha ya kuwa na masikio mawili unasikia kitu kimoja. That is Mono
na Stereo ni kuwa na masikio mawili na kusikia vitu viwili, Left kivyake na right kivyake
Mtengenezaji wa audio anaamua either iwe Mono au stereo. na wakati mwingine kuna advance tech zaidi ya hizo mbili yaani 5.1 na kuendelea mbele huko eg. 9.1 or 5.1.2 Nk
Si nirudi kwenye swali lako.
Ukiset kwenye mono, mziki utapiga katikati ya kichwa chako. sababu kinachokia kushoto ndicho kinakia kulia sooo effect inakuwa kati ya kichwa chako
na sterio Mziki unalia kushoto na kulia, lakini kuna baadhi ya vionjo utasikia kushoto na baadhi utasikia kulia
So unapata experience nyingine
Kwa maana rahisi. Mono ni audio file kuwa na track 1 (centre) na stereo ni audio file kuwa na track 2 yaani track moja kushoto na track nyingine kulia
Hiyo track ya juu ni sterio na track ya chini ni mono.