Naomba kujua maana ya neno 'kiwaki' na 'churia'

Naomba kujua maana ya neno 'kiwaki' na 'churia'

HASIDI

New Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Naomba kujua maana ya maneno yafuatayo kama alivyotumia Dulla Makabilla katika kibao chao na Ngajupa - wanaongea;

1. Kiwaki (maswali ya kiwaki)
2. Churia (unanichuria)
 
Unanichulia.. unanisagia kunguni/ unaniombea mabaya/ kuwazia mabaya..
 
Kiwaki.. acha pigo/ mambo ya kiwaki means acha uduanzi.

Maswali ya kiwaki- maswali ya kiduanzi, kiajabu/ yasoeleweka.. hovyo hovyo tu

Cc Carlos Tevez
 
Back
Top Bottom