Naomba kujua machache kuhusu mbao za mkaratusi

Joined
Jul 3, 2012
Posts
38
Reaction score
36
Naomba kujua machache kuhusu mbao za mkaratusi
1. Wapi zinapatikana?
2. Bei kwa moja( kuanzia size 2x2 2x4, 2x5, 2x6, 3x3 3x4, 3x5, 3x6
3. Bei kwa CBM
4. Bei ya shambani na Bei ya Dar.
5. Nini natakiwa kuwa nacho nikiwa ni mnunuzi?
 
ukiwa kama mnunuzi unatakiwa kuwa na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…