Naomba kujua madhara ya kusafisha meno kwa Limao na Baking Soda

Naomba kujua madhara ya kusafisha meno kwa Limao na Baking Soda

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Habarini ndugu wanaJF?!!
Nilikuwa naangalia jinsi ya kufanya meno yetu yawe meupe, Pitapita yangu nikaona kuna mchanganyiko wa Baking Soda na Limao ila sikuona mwezeshaji ata akijaribu kutia kinywani mwake katika video kama nne tofauti tofauti so nikaona nije apa kwenu wataalamu muweze kunipa ushauri juu ya jambo hili kwan napenda meno yangu yawe meupe.

How I whiten my teeth at home 100% works!!!
 
Ukizidisha meno yatakuwa dhaifu na kutoboka.
Tumia baking soda mara moja kwa mmezi kufanya meno yawe meupe.
 
Ukizidisha meno yatakuwa dhaifu na kutoboka.
Tumia baking soda mara moja kwa mmezi kufanya meno yawe meupe.

Ok sawa mkuu inamaana unapiga na.mswaki kama unavyofanya asbh tu?
 
Nilijaribu ila mbaya sana fizi zinachubuka bora hata uende klinik ya meno wakasafishe
 
Back
Top Bottom