Toka nimemaliza dozi ya CEFTRIASONE INJECTION(5).
Yapita siku 5 ila nimekuwa nikipatwa na matatizo Kama.
1. Kuwashwa mwili hasa sehemu za tumboni na mapajani
2.Maumivu ya misuli na kuishi a nguvu kwenye joint hasa upande w kushoto kwenye goti, mabega na kiwiko.
3. Kuhisi vitu kuchomachoma mwilini.
......