Naomba kujua madini ya uno kwa tanzania yanachimbwa wapi na soko lake liko wapi

Ndio madini gani hayo, fafanua kidogo
 
Bei hujui, yanakochibwa hujui sasa we we unayatafuta ya kaz gani? Au viroba vya uvunguni
 
Bei hujui, yanakochibwa hujui sasa we we unayatafuta ya kaz gani? Au viroba vya uvunguni
Nimefanya uchunguzi nimegundua uno ndo rubby sa huku wao wanatumia neno uno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…