Naomba kujua makadirio ya 'matirio' za Linta, Ripu na Floor

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Wakuu naomba kuelimisiwa,

Ninafanya makadirio ya ujenzi, sasa eneo la mkanda, linta, ripu na sakafu zinanipa changamoto.

Jengo mzunguko wake ni futi 120. Walau nikipata hata kanuni ya kuniongoza, the rest nitayamudu.

Ninamaanisha mchanga, saruji na kokoto.
 
a)120"×12x6"×5"=ujazo wa lintel katika inches au 0.7m³ sawa na lita 700 za zege au ndoo kubwa 35 za zege
b) uwiano wa kokoto:mchanga: cement inategemea aina ya cement, aina ya mchanga na kokoto.....
 
Asante sana. Vipi kuhusu ripu?
 
Wakuu naomba kuelimisiwa,

Ninafanya makadirio ya ujenzi, sasa eneo la mkanda, linta, ripu na sakafu zinanipa changamoto.

Jengo mzunguko wake ni futi 120. Walau nikipata hata kanuni ya kuniongoza, the rest nitayamudu.

Ninamaanisha mchanga, saruji na kokoto.
Wapi unajenga Mkuu? Au Kahama!
 
Back
Top Bottom