Asante sana kiongozi najipanga kwa hilo ,VP mabenki mengine kama CRDB ili nijaribu kwenye unaafuu.Nenda NMB wanakopesha matrekta.
Masharti:
1. Lazima uwe unamiliki shamba kunzia heka 18 na kuendelea
2. utatakiwa kutoa benki statement ya mwaka mzima ilikuonesha mzunguko wa pesa kwenye akounti yako
3. Lazima uwe na asilimia 25 ya gharama ya trekta unayotaka kukopa
Huko kwingine sijui kwakweliAsa
Asante sana kiongozi najipanga kwa hilo ,VP mabenki mengine kama CRDB ili nijaribu kwenye unaafuu.