Naomba kujua matatizo ya Engine ya 1JJZ ya mwaka 1998

Naomba kujua matatizo ya Engine ya 1JJZ ya mwaka 1998

themathematicalmodelling

Senior Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
174
Reaction score
327
jamani naombeni ushauri wenu hii engine ipo kwenye gari ya toyota progress ya mwaka 1998 please naombeni ushauri wenu nisije ingia kichwa kichwa, hii gari imetembea 45000 kilometers ipo bado japan
 
Mwenye gari ndo akwambie matatizo yake, wote mnaeza kuwa na engine Sawa but every one experience his own problem
 
Hiyo ni 1JZ sio 1JJZ. 1JZ ni injini nzuri na yenye uwezo mkubwa.

Kama unachukua kwa mtu kama ni mwaminifu akuambie tatizo au akupe muda wa matazamio unapoitumia.
 
Tatizo kubwa zaidi na zaidi ni mafuta tuuu.hiyo gari huwa. Zinazingua sana kama utakuwa unaweka mafuta ya kuunga unga kitakachotokea utaharibu nozeli na hapo ndio ubaya au ubovu unapo anzia..

Kingine service uzingatie sana hiyo engine sio ya bora liende itakuzingua.
 
Ila mkuu ukizoea gari ya 6 cylinder unakua addicted kabisaaa,ukiendesha 4 cylinder unona kama mzaha tu.Ila ndo hivyo tena kwny mafuta ndio shughuli ilipo.
 
Ila mkuu ukizoea gari ya 6 cylinder unakua addicted kabisaaa,ukiendesha 4 cylinder unona kama mzaha tu.Ila ndo hivyo tena kwny mafuta ndio shughuli ilipo.
Lkn sio kweli sana kwenye ulaji wa mafuta tofauti sio kubwa sanaa sema ndio kibongo bongo tunaendesha magari mabovu
 
Lkn sio kweli sana kwenye ulaji wa mafuta tofauti sio kubwa sanaa sema ndio kibongo bongo tunaendesha magari mabovu
Ni kweli mkuu,mimi baada ya kuingia kwny 6 clyinder siwezi kurudi kwenye 4 tena mkuu

Consumption kwangu sii inshu sana unless niwe na trip fupi fupi ndo naona mabadiliko kidogo saaana yaan ni very minor.

Inshort kwny 4 clyinder siwezi kurudi tena mkuu.
 
Back
Top Bottom