themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 327
Ila mkuu ukizoea gari ya 6 cylinder unakua addicted kabisaaa,ukiendesha 4 cylinder unona kama mzaha tu.Ila ndo hivyo tena kwny mafuta ndio shughuli ilipo.Tatizo kubwa zaidi na zaidi ni mafuta tuuu.hiyo gari huwa. Zinazingua sana kama utakuwa unaweka mafuta ya kuunga unga kitakachotokea utaharibu nozeli na hapo ndio ubaya au ubovu unapo anzia..
Kingine service uzingatie sana hiyo engine sio ya bora liende itakuzingua.
Lkn sio kweli sana kwenye ulaji wa mafuta tofauti sio kubwa sanaa sema ndio kibongo bongo tunaendesha magari mabovuIla mkuu ukizoea gari ya 6 cylinder unakua addicted kabisaaa,ukiendesha 4 cylinder unona kama mzaha tu.Ila ndo hivyo tena kwny mafuta ndio shughuli ilipo.
Ni kweli mkuu,mimi baada ya kuingia kwny 6 clyinder siwezi kurudi kwenye 4 tena mkuuLkn sio kweli sana kwenye ulaji wa mafuta tofauti sio kubwa sanaa sema ndio kibongo bongo tunaendesha magari mabovu